AHMED ALLY AKITAMKA JINA LA KOCHA MPYA WA YANGA "TULIWAINGIZA CHAKA, KWA KUIGA"
ADVERTISEMENT
Comments 81
gerolfechoing17:
Hata kama ni yanga😂 hapa utacheka Tu hata nguvu za kumjibu …
More Like This
1:41
Picha ya Messi na Lamie miaka 19 iliyopita
Sports
485
0
0:46
Ronaldo Is Cheating With Georgina 😱😡 #shorts #football
Sports
16.5k
0
0:49
The Irish were part Argentinian today 🇮🇪🇦🇷 #ireland #argentina #england #fifaworldcup
Sports
5.9k
100
0:17
Haaland has arrived #memes #shortvideo
Sports
21.1k
15
0:34
Erling Haaland's Funniest Moments Ranked 😂#funny
Sports
44.0k
0
0:10
Rele Mofokeng in training today🔥✨ #KaizerChiefs #MamelodiSundowns #OrlandoPirates #BetwayPrem
Sports
1.6k
14
0:33
Temu Footballers 😭🙏 (part 2)
Sports
21.0k
24
1:44
KWADWO DICKSON LATEST UPDATE ON WHY ENGLAND LOST TO ARGENTINA 2:1 IN THE SEMI FINAL#fifaworldcup2026
Sports
293
7
You've reached the end
Hata kama ni yanga😂 hapa utacheka Tu hata nguvu za kumjibu unakosa😂 maana anatema facts 😂
12 July 2026 miaka kumi ijayo sijui nitakuwa wapi, ee Mungu nisaidie 😢😢
😂😂😂😂😂 semaji la caf
Ila Semaji nakukubali sana😂
Kumbe akitulia anaongea fact
Wakae Wakijua Kuwa Njia Ya SIMBA hawezi Kupita CHURA
huyu jamaa mm sio kwa ushabiki Ahmed yuko vinzr kwa kukera watu😂😂😂
Semaji raha sanaaa kukusikiliza
Kusema kuiga kuchukua kocha au mchezaji taifa moja ni ushamba Yanga walichukua wachezaji asec na Cot de ivore simba wakaenda huko huko.... yani Ahmed bado mshamba sana
Kwani kati ya sead ramovic na fadlu nani alianza kuja bongo 😂😂
Bro hebu zungumza vizuri uache komedi unafata sana
Huyu jamaa 😂 ni mchekeshaji mzuri mno
Haka kajamaa kanalipokaga saana ila likikapata kanageuza story ko kaacheni kajifariji na kujifyatua
Jamaa anauliza kama hajui
Wa kwanza yanga wewe wacha kudanganya watu sisi ndio tulianza na mchezaji skudu
Huyu jamaa 😅😅😅😅 comedian mzurii
HUYU AHMED ALLY NADHANI NI SHOGA HAJIELEWI YAANI ANAROPOKA TU ETI WANATUIGA SASA MAFANIKIO YENU MLIYOPEWA NA KOCHA WENU NDO HIYO F.A ??MNYA HOVYO WEWE
Kwamafanikio gani mnayofanikiwa chura nyny au hayoo yakupebwaa huu msimu unaokujaa navyotaka tunatakaaa mungu akulinde semaji wetu tunakupenda sana wanasimbaa🙏🙏🦁🦁🦁🦁💪🏽💪🏽❤️❤️
Ramovic alitokea wapiii???
Ukiwa Msemaji wa timu kubwa unapaswa kuwa na kumbukumbu. Jaribu kumbuka Kati Sayd Ramovich a.k.a germany machine na Fadlu ni nani alianza kuja Tanzania? Uwe unaandika for reference