Yanga SC imeishusia kichapo kizito JKT Tanzania cha mabao 4-0 katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC, mechi ikipigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Waliotikisa nyavu ni Albert Kangwanda, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka na Peter Shalulile.
Sign in to join the conversation