0:00
14:17
14:17

GETO LA KUSHEA || Episode 03

Comedy

GHETTO LA KUSHEA – “JIRANI NISAIDIE” | EPISODE 03 Nuru na Musa wanaendelea na maisha yao ya ujirani, lakini mambo yanakuwa magumu pale Mama Nuru anapofika na kuamua kukaa hapo. Nuru analazimika kumtambulisha Musa kama boyfriend wake, na mambo yanaanza kwenda kombo. 😂🔥 Usikose Episode inayofuata🔥🙌 🎬 A HOMES FILM Production ✍🏾 Written by Nyaki © 2026 HOMES FILM

ADVERTISEMENT
Comments 0 Be the first to comment