Simba SC wamewasili Nchini Rwanda kwa ajili ya Michuano ya CECAFA KAGAME CUP 2026,itakayoanza kutimua vumbi Julai 24,2026.
Sign in to join the conversation